가사와 번역 - Nilie
— 노래 Kelechi Africana
"Nilie" 가사 및 번역. 누가 이 노래를 썼는지 알아보세요. 이 뮤직 비디오의 제작자이자 감독을 찾으십시오. "Nilie" 작곡가, 작사, 편곡, 스트리밍 플랫폼 등. "Nilie"는 스와힐리어에서 연주된 노래입니다. "Nilie"은 Kelechi Africana— 노래 Kelechi Africana
"Nilie" 가사 및 번역. 누가 이 노래를 썼는지 알아보세요. 이 뮤직 비디오의 제작자이자 감독을 찾으십시오. "Nilie" 작곡가, 작사, 편곡, 스트리밍 플랫폼 등. "Nilie"는 스와힐리어에서 연주된 노래입니다. "Nilie"은 Kelechi Africana
|
Download New Songs
Listen & stream |
|
KELECHI AFRICANA — Nilie (Lyrics)
Ive been calling calling calling you na hushiki
Nimepiga simu mpaka kwenu haupo nyumbani
Nini we una fanya hata sms hujibu
Unanipa ma blue tick ma blue ticks ma blue tick
Kumbe unani danganya
Unanidanganya
Undanidanganya
Una wako mabwana
wako mabwana
wako mabwana x2
Umenifanya mpaka me nilie
Nilie nilie
Mchana kutwa me nilie nilie nilie x2
Hosi hosi wana sema im adicted to weed
Ju vile nachoma vile nachoma ndio nisikufikirie
Doc doc anasema nipunguze pombe ama nitakufa bure
Umenigeuza mlevi yeye
Kumbe unani danganya
Unanidanganya
Undanidanganya
Una wako mabwana
wako mabwana
wako mabwana
Ive been calling calling calling you na hushiki
Nimepiga simu mpaka kwenu haupo nyumbani
Umenifanya mpaka me nilie
Nilie nilie
Mchana kutwa me nilie nilie nilie x2