"Turudiane"
— 노래 Jay Melody
"Turudiane"은 음반사 "Jay Melody"의 공식 채널에서 22 1-월 2025에 공개된 탄자니아어의 곡입니다. "Turudiane"에 대한 독점 정보를 발견하십시오. Turudiane의 노래 가사, 번역 및 노래 사실을 찾으십시오. 수입 및 순자산은 인터넷에서 찾은 정보에 따라 후원 및 기타 출처에 의해 누적됩니다. "Turudiane"곡은 편집 된 음악 차트에 몇 번이나 등장 했습니까? 'Turudiane'은 '톱 100' 탄자니아 Songs, Top 40 탄자니아어 Songs 등 인기 상위 차트에 오르는 유명한 뮤직비디오입니다.
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Turudiane" 사리
"Turudiane"의 YouTube 총 조회수는 1.3M회, 좋아요 수는 13.6K회입니다.
이 노래는 22/01/2025에 제출되었으며 차트에서 16주를 보냈습니다.
뮤직비디오의 원래 이름은 "JAY MELODY - TURUDIANE (OFFICIAL LYRICS)"입니다.
"Turudiane"은(는) Youtube의 21/01/2025 22:57:31에 게시되었습니다.
"Turudiane" 작사, 작곡, 음반사
LYRICS
Onaa naaa nana nanaaaah
Anaitwaje uyo jay
Jay once again
Nilikukosea naomba unisamehe
Nishajionea kwamba sina lolote
Bila wewe siwezi endelea
Naomba tuendelee
Yalikua matamu mapenzi yetu
Yalikua super aaah
Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona
Aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza
Nimeshindwa kukaza
mwanzako natakaa
Turudiane
Mwenzio nataka
Turudiane
Mwenzako nataka aah
Turudiane
Mwenzio nataka
Turudiane
Once again
Verse 2
Saa sita saa saba usiku
Nitakupigia nna kitu
Nawe pokea japo tu
Nikuongeleshe kakitu
Huku nje kila mtu wa mtu
Nishakua single masiku
Basi nielewe kiduchu
Tumalize hili beaf
Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona
Aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza
Nimeshindwa kukaza
mwanzako natakaa
Nimeshindwa
Ku move on
Nimeshindwa
Ku move on
Hata siwezi
Ku move on
Wanawezaje
Ku move on
Stream now in all digital platforms:
Audiomack:
Connect: With Jay Melody
instagram:
Tiktok:
@2025 Jay Melody All rights reserved
Learn more
#turudiane #jaymelody